CHIZI VITABU
JF-Expert Member
- Jun 12, 2021
- 1,061
- 2,475
Jamaa ana ujuaji fulani wa kibwege sana hata kakiongea anang'ata ulimi na kurembaremba accent sijui ili a sound kama wazungu, unatuabisha wachaga wewe, sijasahau uliposababisha beef kubwa kati ya Magori na Efm baada ya Magori kuchanganya madesa na kudhani sport Hq ndiyo waliyotangaza habari kwamba simba imeshindwa kulipa mishahara miezi 2 kumbe ni wewe uliandika upupu kwenya gazeti huko sijui dimba lile
Sasa embu jitafakari basi, angalia jinsi ulivyo report hii habari ya simba kuingia mkataba wa ndani na Atcl halafu post nyingine unashangaa mkataba umekuwaje tena mkataba hauitimiizii simba kwenda Botswana, hujui kwamba Botswan siyo ndani ya nchi hii?