Angalia Traffic jam status in dar live

Thanks! Ila hii ya mandela road inakamata bati la nyumba ya mtu, barabara inaonekana kipande kiduchu sana kiasi kwamba sidhani kama unaweza ukapata picha halisi ya traffic. Mkuu, hizo camera zimefugwa lini barabarani?

attachment.php
 
hiyo ya mandela naona imetwist kidogo mkuu.sijajua zimefungwa lini ila nitauliza kwa mdau aliyenipa taarifa hii.
 
suggestion: 6 seconds interval ni fupi sana, kama inawezekama, pawe na option ya kuchagua interval... Hiyo inammanisha kuwa, old records zinaweza kuchezeshwa kama video...

Hii tool inaweza kusaidia traffic wakati magari "yanaposalimiana".
 
Kazi nzuri hii! ila sidhani kama zipo barabarani hizi. Zinaonekana kama zipo ktk majengo karibu na barabarani!
 
hii kitu ni mradi wa nani vile? itawasaidia sana matrafiki aise....na barabara zetu zilivyo chache ni rahisi sana
tazara11.jpeg
 
Hii ni nzuri inaweza kusaidia kujua upite barabara gani kabla ya kutoka ofisini au nyumbani. Lakini Tazara junction imegoma kuonyesha kabisa sijui tatizo liko wapi.

Tiba
 
Back
Top Bottom