Angalia tofauti za mapafu haya!!

Angalia tofauti za mapafu haya!!

Mzizi wa Mbuyu

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2009
Posts
7,472
Reaction score
7,276
lungs.jpg

Kushoto ni mapafu ya mtu asievuta sigara...kulia ni ya Mvutaji!
Hivyo unatakiwa ujijue mapafu yako yakoje kwa ndani!!
 
Si ni rangi tuu.
Ingekuwa uso ndo unabadilika hivyo ndio ningestuka.
Mapafu nani atayaona!!
 
Mh! Na kadri mtu anavyoshawîshiwa kuacha kuvuta sigara bila kupenda kwa ridhaa yake ndivyo anavyozid kuvuta sigara nyingi! Msongo wa mawazo unakuwa mkubwa na rafiki yake wakuaminika na anaekuwa karibu ni sigara bas!
 
Acheni utumwa wa Fikra, hata picha zote shetani anachorwa mweusi na malaika anachorwa mweupe sasa mmegeukia kwenye Mapafu, Kulia ni la mwafrika kushoto ni la wengine, mie napiga Cegar mwaka wa 37 lakin niko swaf sana tu wakat kuna vitoto vinakufa kwa Nimonia kila day!
 
Tuwekee na maini ya sisi wazee wa Konya na viroba na yale ya wasiokunywa
 
Duuu ngoja nimshauri jamaa yangu aweke mbali na watoto iyo kitu.
 
Back
Top Bottom