Hilo Tangazo mbona liko vizuri tu kwamaana hawajasema Chochote zaidi ya kuweka picha na usichokijua ukiwa upande wa Kenya unauona vizuri mlima Kilimanjaro kuliko upande wa Tz, kwahiyo kama nikuupanda ndiyo itakubidi uje Tanzania Lkn Kwa kuutazama ata ukiwa Kenya unaonekana mbashara