duh, nafasi ya mpenzi wa kwanza ni kubwa sana kwenye lifestyle ya mapenzi hasa kama ulianza kwenye umri mdogo.
Umeongea point ya msingi sana lakini yenye ukweli nusu tu. Sometimes, mpenzi wa kwanza huwa hana nafasi wala umuhimu wowote kwenye lifestyle au maisha ya mtu.