Angalia picha za daraja la dumila lilioharibika kutokana na mvua


MAJI YA MAFURIKO YAKIPITA KWA KASI KANDO YA DARAJA LA MTO MAGOLE WILAYA YA KILOSA NA KUFANYA MATUMIZI YA BARABARA YA DODOMA-MOROGORO KUSHINDWA KUTUMIKA KUTOKANA NA MAFURIKO KUHARIBU MIUNDOMBINU YA BARABARA YALIYOTOKANA NA MVUA
KUBWA KUNYESHA MAENEO MBALIMBALI YA WILAYA HIYO MKOANI MOROGORO NA KUSABABISHA MABASI YA ABIRIA NA MALORI KUSHINDWA KUSAFIRI NA KULAZIMIKA KUZUNGUKA BARABARA YA MELELA, KIMAMBA KISHA DUMILA KUENDELEA NA SAFARI YA DODOMA LEO HUKU MAGARI MENGINE YAKIWA YAMEKWAMA.




MATUKIO NA VIJANA



...nimekumbuka ule wimbo tuliokuwa tunaimbishwa mashule, tukiwa wadogo...!

"Chama Chetu Cha Ma.... cha.....
Chama..... Aaaa, Chama..., cha...
attachment.php
 
Itakuwa ni Chadema wamesababisha mafuriko, si unaona operation yao PAMOJA DAIMA wanaifanya kwa helikopta.
Kigumu Chama Cha Miundondimu.
 
Kweli hatuna selikali kila kiongozi anajari masilahi yake

jamani mnyonge mnyongeni lakini Haki yake
mpeni. sasa unalaumu selikari au mvua?
nikitazama daraja lilikuwa limejengwa vizuri tu. ila maji yamesamba sehemu kubwa kiasi kwamba daraja haliwezi kuhimili mmomonyoko wa ardhi
 
Jamani kama hauna data za kutosha uckurupuke Ku comment,daraja la dumila limejengwa na kampuni moja ya kibrazil mnamo mwaka wa 1991 hivi.natabiri ipo cku kuna wehu watasema soko la Kariakoo limejengwa na wachina..! Niamini mimi
 
Back
Top Bottom