Angalia Page source-code kwenye Operamini Mobile Browser.

Isaac Chikoma

JF-Expert Member
Oct 25, 2011
477
195
1.Fungua opera mini Browser kwenye simu yako ya mkononi.

2.Then fungua page yoyote uipendayo,ambayo unataka kuona source code zake mfano, www.jamiiforums.com ,

3.Page ikishafunguka bonyeza kitufe cha menyu kama unataka kuandika address nyingine kwenye address bar halaf bonyeza edit.

4.kwenye address bar andika haya maneno ''server:source'' bila quotations then click go to view page source.
 
Mphamvu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
10,713
2,000
1.Fungua opera mini Browser kwenye simu yako ya mkononi.

2.Then fungua page yoyote uipendayo,ambayo unataka kuona source code zake mfano, www.jamiiforums.com ,

3.Page ikishafunguka bonyeza kitufe cha menyu kama unataka kuandika address nyingine kwenye address bar halaf bonyeza edit.

4.kwenye address bar andika haya maneno ''server:source'' bila quotations then click go to view page source.
Ina msaada gani kwa sisi watumiaji wa kawaida, I mean ambao sio maprograma...
 
Top Bottom