Angalia nyendo zako usije kuwa deleted

Angalia nyendo zako usije kuwa deleted

Umepita na boda boda kama kishada kwa mwendo wa roketi, lkn umeweza kuchunguza bastora ukaona ina kiwambo cha kuzuia sauti na ukachunguza idadi ya watu kwenye gari. Anyway JF riwaya zimekuwa nyingi
huyu jamaa atakua ni mpiga bodi proffetional.
ana uwezo wa kuzoom image kwa kutumia macho
 
Bodaboda ilisimama mkaangalia jinsi jamaa anavyofuta Bastola..Tupe na Chapati Mbili mkuu chai tu sio Fair
huwa sina tabia ya kutunga mambo na ili iweje kwa mfano,,,haya mazingira ni porini sio busy kama town, huenda baada Ya dakika kadhaa ndo unaweza pishana na gar au boda boda, ndio maana hata jamaa walikuwa comfortable kumaliza shughuli yao pale

Kwa mazingira kama yale toka awali tulijiuliza iweje wamesimama pale na hakukuonekana kama gar imeharibika,,, ndio tuweka umakini kwao na kuona hayo tuliyaona

Anyways ni juu yako uamini au unywe chai na chapati mbili chap
 
Kumbuka wengine wanauliwa bila kuwa na hatia.
 
Dhambi Moja inazaaga dhambi nyingine na nyingine na nyingine
 
Back
Top Bottom