Baba na mtoto
Baba: Mwanangu ukiwa na hasira unafanya nini?
Mtoto: Naenda chooni.
Baba: Chooni? Kufanya nini?
Mtoto: Kusafisha.
Baba: Halafu ndio hasira zinaisha?
Mtoto: Ndio nasafisha choo kwa mswaki wako.
Jamaa alienda nunua tai alipofika ikawa hivi:
Muuza duka: Karibu, nikusaidie nini?
Mteja: Natafuta tai iliyochanganyika na maziwa na kahawa hivi.
Muuza duka: Sijajua na sukari je au hutoitaji?
Jamaa akimshushua mwenzake "mshkaji wangu we tatizo unakopa sana, chuupi unakopa, maji unakoopa, mwanamke ukienda nae gesti unakopa pia" Jamaa akajibu: Sasa JK amefanya hali ya uchumi iwe tete mi ningefanyaje?
Mwanamke: Nilikubali kuolewa na wewe haraka haraka kwasababu nlikua nna hasira siku ile.
Mwanaume: Ooh! Mie sikuliona hilo nlikua kwenye dimbwi la mapenzi juu yako.
Baba na mtoto
Baba: Mwanangu ukiwa na hasira unafanya nini?
Mtoto: Naenda chooni.
Baba: Chooni? Kufanya nini?
Mtoto: Kusafisha.
Baba: Halafu ndio hasira zinaisha?
Mtoto: Ndio nasafisha choo kwa mswaki wako.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.