hashim mwamba
JF-Expert Member
- Sep 2, 2016
- 1,018
- 1,105
Kupatwa kwa mwez kuna faida gan au hasara gan maan tunafurahia kitu tusicho kifaham,me binafc cjui
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Itakua wanataka kupika maan pia kwao ucku umeingiaukiuangalia mwezi vizuri kuna mtu amebeba kuni
NightmareSo amazing to feel the kivuli is our earth wow,... When I grow up I wanna work at NASA
kupatwa kwa "cha arusha"Muongo limwezi hili hapa hakuna cha kupatwa wala kupata, jeupe peee
Sent using Jamii Forums mobile app
Bwana weeeh km ni pagani basi uko sahihi lkn be careful, hakuna kuyakebehi haya mambo ya diniHaya wale watu wa dini kuu pendwa huu ndo ule muda wa kuonyesha ujinga wenu..! Muanze kuelekea kwenye nyumba zenu za ibada mkaombee kupatwa kwa mwezi..! [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
...acha dhihaka za kipuuzi wewe funzajike!Haya wale watu wa dini kuu pendwa huu ndo ule muda wa kuonyesha ujinga wenu..! Muanze kuelekea kwenye nyumba zenu za ibada mkaombee kupatwa kwa mwezi..! [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kutokwa na povu mkuu..! Ndo ladha ya ukweli hiyo..! Huwa chungu siku zote.mn[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]...acha dhihaka za kipuuzi wewe funzajike!
hahahahaha mkianza kambaukiuangalia mwezi vizuri kuna mtu amebeba kuni
Binadamu tumendelea kwa kufahamu na kukubali vitu ambavyo kabla tulikuwa hatuvielewi. Ubongo unafanya kazi baada tu ya kuelewa yale ambayo tulikuwa hattuyaewi maana hapo ndioi unapata mawazo ya kubuni matumizi yake na matumizi yake.Kupatwa kwa mwez kuna faida gan au hasara gan maan tunafurahia kitu tusicho kifaham,me binafc cjui
Sent using Jamii Forums mobile app
Endelea kuwaza; leo watakucheka ila kesho utaona vitu vya maana. Mawazo yote ni ya faida. Sema tu ufuatiliye ili kuhahikisha na uwe tayari kuyaacha iwapo itaonekana si kweli. Huo ndio mwenendo wa uchunguzo wa sayansi. Usiache kufikiria.ukiuangalia mwezi vizuri kuna mtu amebeba kuni
Yaap.nafikiri ungekuwa baharini usiku huu ungeona.au kesho nenda baharini.ukaone maji yalipo fikia usiku wa leo.Ndugu Mtaalamu naomba kujuzwa kuhusu hili jambo hapa nimeliona kwenye "Taarifa kwa Umma toka Hali ya Hewa"
Kwa ujumla kupatwa kwa Mwezi huwa hakuna athari kubwa katika hali ya hewa. Hata hivyo, kutokana na Mwezi, Dunia na Jua kukaa katika mstari mmoja, nguvu za uvutano huongezeka na hivyo kuweza kusababisha maji ya bahari kupwa na kujaa kwa kiasi kikubwa kuliko ilivyo kawaida.
Je kuna ukweli wowote hapo kwenye maandishi mekundu?