Angalia Mwezi Ukipatwa Leo Jioni – Watch Lunar Eclipse Tonight

Angalia Mwezi Ukipatwa Leo Jioni – Watch Lunar Eclipse Tonight

Je umehamasika kuangalia leo tukio la Kupatwa kwa Mwezi

  • Ndiyo

    Votes: 20 76.9%
  • Hapana

    Votes: 5 19.2%
  • Ninahofu

    Votes: 1 3.8%

  • Total voters
    26

njiwaji

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
289
Reaction score
209
Muda wa Mwezi Kupatwa Kiasi Leo Jioni Jumatatu 07 Agosti, 2017

12:50 Jioni Kivuli chepesi chaanza kufunika Mwezi (hatuta hisi sana)
2:23 Usiku Kivuli cheusi chaanza kufunika Mwezi, kutoka ncha ya chini kulia ya Mwezi
3:20 Usiku Kivuli cheusi kitafunika robo (1/4) ya Mwezi upande wa chini kulia
4:18 Usiku Kivuli cheusi chatoka nje kutoka ncha ya juu kulia ya Mwezi
5:51 Usiku Mwezi utaachwa kabisa kutoka kivuli chote cha Dunia.


Kwa maelezo zaidi kuhusu kupatwa kwa Mwezi soma:
Google Sites


Times for Partial Lunar eclipse times Monday 07.Aug.2017

6:50pm Penumbral faint shadow starts
8:23pm Umbral dark shadow starts
9:20pm Max eclipse (1/4 Moon covered)
10:18pm Umbral dark eclipse ends
23:51pm All eclipse ends.

For more information about this Lunar Eclipse, read:

https://sites.google.com/site/copyo...artial-lunar-eclipse-tonight-monday-august-07

Picha Kupatwa kwa Mwezi Agosti 7.jpg


Mchoro Kupatwa kwa Mwezi.jpg
 
Mbona Hamna kitu.... Mwezi bado ni mweupeeee...
 
Kweli imeanza kushika mkuu

mwanza kwetu
 
Nafuatilia kupatwa kwa mwezi. Naona kupatwa huko kumeanza sasa.....
 
Niko mubashara kabisa

mwanza kwetu
 
  • Thanks
Reactions: Ilu
Back
Top Bottom