BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,345
Hivi una tofauti nae kweli[emoji86][emoji86]Dudu yake tu inamuweka mjini dadeki.
Kuna jamaa anasema ukitaka isife njaa mjini basi we tembea tu mama ntilie
Unautan Wa Ngum WwHivi una tofauti nae kweli[emoji86][emoji86]
Kati ya mario au womanizer ..jina gani linamfaaAisee
Nimekosa jina la kumpa itakuwa anapiga sana show za kibabe au tumuweke kwenye kundi la umarioo kweli kila mtu na kipaji chake
Hahahah wanataka kuibukia "steti"Wanaosema maisha ya mbele ni simple waje huku.
Ameona hio ndo njia ya kuwadaka ...nafikir.ana tatizo la kisaikolojia pengine ile trauma aliyopitia akiwa mdogomnh mbona huko wanaruhusu biashara za ukahaba,kwa nini asifanye awe na kwake?
Hivi marekani hamna ukimwi?Ndio raha ya kujua kutumia nyenzo safi sana unawapiga mkuyati kesho wanakutafuta wenyewe
Le koko Banga bomayeee,cintwayeeen Nye nyeeeeAisee
Nimekosa jina la kumpa itakuwa anapiga sana show za kibabe au tumuweke kwenye kundi la umarioo kweli kila mtu na kipaji chake
Yote yanamfaaKati ya mario au womanizer ..jina gani linamfaa
Daaa..kwaio ni mwanaume mwenye familia ambaye anaishi kwa pesa za makahaba wa mjini?hapa hapa bongo wapo na mmoja niko nae hapa, ana mke na watoto wanasoma lakini yeye anajiuza kwa makahaba, yaani mwanamke anaenda kupiga show na wateja yeye anamsubiri akimaliza, mzigo unaoshwa anakabidhiwa yeye mpaka mida ya mchana, jiono anahamia kwingine, kifupi familia yake inaishi kwa pesa zinazotoka kwa makahaba...na wamgombania
Ahahhh me simooLe koko Banga bomayeee,cintwayeeen Nye nyeeee