Angalia mechi kwenye laptop

franco15

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2013
Posts
518
Reaction score
208
Unaweza kuangalia mechi za ligi zote kubwa kupitia laptop yako. Cha muhimu ni kuwa na reliable internet connection. Just visit wiziwig.tv and Enjoy!!!!
 
Hapo inatakiwa niwe na bando kiasi gani?
 
Nimeipenda hii kitu nikiwa bush naweza angalia.
 
kitu kikishakua torrent tu ujue sio live. hakuna kitu nsichopenda kama vile unaskia makelele watu wanashangilia halafu we unasubiri dakika nzima ndio unaona goli

Ni kweli jamaa wapo nyuma kwa sekunde kadhaa ila mimi haijalishi kushangilia goli baada ya sekunde 40 muhimu kupata kitu clear basi!!
kama kuna site nyingine inaonyesha picha safi kama hawa jamaa free kabisa basi naweza kuwatupakulee





Jamaa wa Sport Lemon - From Sport - Watch Live Sports Online - FromSport




SD ya ??????? ??. ?????? Torrent-??????????? ??????




HD ya ??????? ??. ?????? Torrent-??????????? ??????

Wacha tu nishangilie goli sekunde kadhaa mbele
 
Aina mzuka wowote unakuja kuona gori wakati watu wanatafuta goli la pili.
 
aina mzuka wowote unakuja kuona gori wakati watu wanatafuta goli la pili.

weka mbabadala wake ndiyo nitakuelewa siyo unadandia tu!!!!
Nijuavyo futubox ndiyo wanaonyesha kivile ila siyo free unalipia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…