Angalia live mjadala wa chenji ya rada uingereza hapa

Ahsante ngoja tuuangalie na kusikiliza naona kuna option ya ku download itakuwa nzuri zaidi kwa ajili ya kuwaonyesha na watanzania wenzetu yaliyojiri huko, tunatetewa tusipoteze pesa wenyewe hata hatujali!
 
wakuu hebu mwenye uwezo atuwekee tuidownload kiurahisi, binafsi nimechemka!
 
Back
Top Bottom