Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,928 Apr 13, 2012 #1 Picha na kivuli chake vinachanganya.......
Kimbweka JF-Expert Member Joined Jul 16, 2009 Posts 8,597 Reaction score 1,692 Apr 13, 2012 #2 Kwenye kivuli wanafanya mambo ya kiutu uzima, pichani wanacheza sebene
Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member Joined Jan 26, 2012 Posts 1,996 Reaction score 618 Apr 13, 2012 #3 haya bana macho yako yanaona zaidi ya xray
Fidel80 JF-Expert Member Joined May 3, 2008 Posts 21,944 Reaction score 4,511 Apr 13, 2012 #4 Katavi said: Picha na kivuli chake vinachanganya....... View attachment 51669 Click to expand... Hee kwenye kivuli mwanamke kachutama
Katavi said: Picha na kivuli chake vinachanganya....... View attachment 51669 Click to expand... Hee kwenye kivuli mwanamke kachutama
Chapa Nalo Jr JF-Expert Member Joined Dec 8, 2010 Posts 7,520 Reaction score 6,517 Apr 13, 2012 #5 Sijui kwanini nilikimbia somo la sayansi, kwa wataalamu wa mwanga kwao hapo wameelewa
gfsonwin JF-Expert Member Joined Apr 12, 2012 Posts 18,272 Reaction score 20,720 Apr 13, 2012 #6 hivi unajua nini maana ya kivuli? na je unajua kuwa huwa kinaonekana opposite side? ni tukio hilo hilo tatizo ni kwamba ni kwa kinyume.
hivi unajua nini maana ya kivuli? na je unajua kuwa huwa kinaonekana opposite side? ni tukio hilo hilo tatizo ni kwamba ni kwa kinyume.
W WILSON MWIJAGE JF-Expert Member Joined May 30, 2011 Posts 276 Reaction score 78 Apr 13, 2012 #7 Katavi said: Picha na kivuli chake vinachanganya....... View attachment 51669 Click to expand... Ndugu, Honera
Katavi said: Picha na kivuli chake vinachanganya....... View attachment 51669 Click to expand... Ndugu, Honera
Memo JF-Expert Member Joined Jan 17, 2011 Posts 2,157 Reaction score 760 Apr 13, 2012 #8 AseeeeeDuh!!!Vivuli vinafaidi!!!!
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,928 Apr 13, 2012 Thread starter #9 WILSON MWIJAGE said: Ndugu, Honera Click to expand... Sijakuelewa.
Kakulwa P JF-Expert Member Joined Feb 8, 2012 Posts 200 Reaction score 72 Apr 13, 2012 #10 Katavi said: Sijakuelewa. Click to expand... Huyo Jamaa kaongea kikwao huko Mashanga, Anamaanisha Safi saaaaana, hawa jamaa wanadhani kila mwana JF anajua kila lugha. Mwijage Ensula etya eyo
Katavi said: Sijakuelewa. Click to expand... Huyo Jamaa kaongea kikwao huko Mashanga, Anamaanisha Safi saaaaana, hawa jamaa wanadhani kila mwana JF anajua kila lugha. Mwijage Ensula etya eyo
B bigambo Senior Member Joined Jul 30, 2007 Posts 109 Reaction score 10 Apr 13, 2012 #11 Dah nimependa sana,
The Pen JF-Expert Member Joined Dec 31, 2010 Posts 755 Reaction score 261 Apr 13, 2012 #12 Unaweza kutengeneza movie. Hicho kivuli, au kivuli cha namna km hiyo, kiwe ndiyo ushahidi pekee mahakamani khs kesi fulani inayomshutumu mtu kwa kosa ambalo hakulifanya -- labda kwa kusingiziwa. Chukua karatasi na kalamu, anza kuandika script.
Unaweza kutengeneza movie. Hicho kivuli, au kivuli cha namna km hiyo, kiwe ndiyo ushahidi pekee mahakamani khs kesi fulani inayomshutumu mtu kwa kosa ambalo hakulifanya -- labda kwa kusingiziwa. Chukua karatasi na kalamu, anza kuandika script.