Ricky Blair
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 552
- 1,117
Hebu cheki Japan ilivyokuwaga katili dhidi ya China na mataifa mengine ya Asia. Ilikuwa katili km Ujerumani na iliua wachina milioni 26; ila watu bado wanaiomea huruma kupigwa mabomu ya nuclear ambayo yote yaliua watu km 200k tu when wao wameua mamilioni