Angalia hili shoga veterani !

Judgement

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
10,327
4,779
Wadau mie ni mpenzi wa jukwaa hili, but nna muda kidogo sikatizi mitaa hii.
Haya basi niwaache na hii ;
Shoga huyu veterani (kwa jina maarufu Jeifoo) alikua kakaa kitini nje ya nyumba anapoishi, mara kwa ghafla jirani yake Deo akawa anapita ikawa ;-
> Deo : Jeifoo nambie, vipi mambo.
> Jeifoo : Poa tu jirani nakuona uko kwenye mishemishe.
> Deo : Ni kweli namie nakuona umetulia umekaa umeweka na nne (mkao wa nne ni mkao maarufu mguu mmoja unaupandisha juu ya mwingine.)
> Jeifoo : Hii sio nne ni arobaini.
> Deo : Arobaini kivipi Jeifoo ? Mbona sikuelewielewi ?
> Jeifoo : Ndiyo ni 40 hii ya miguuni 4 na sifuri nimeikalia !
 
Hahahahaaaa kweli umekatiza na kutuachia kitu
Usiache kukatiza walau mara moja moja
 
Hahahahaaaa kweli umekatiza na kutuachia kitu
Usiache kukatiza walau mara moja moja

Sio mbaya niwaache na kituko cha pili kumuhusu huyu shoga Jeifoo, lakini nakileta kwa thread nyingine.
 
kameruni kaleta balaa cjui zitengenezwe condom za oko zizibe kila mahali lol hapa wanaume hamna offlog
 
Hivi hizi thread za mashoga zinatoka wapi au ushoga umeshaingia humu jf, maana kila posti ni ushoga tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom