Mpaka saivi kumiliki chogo ni labda umeamua au kipato , ila chogo kwa kipindi hiki si TV ya maana ukiacha aibu unayosemea bali ubora wa picha unahusika pia.mwisho,wa vichogo sio! tunakoelekea sisi wenye vichogo tutaogopa hata kukaribisha wageni.
Kwanini uogope jikubali maisha unayoishi.mwisho,wa vichogo sio! tunakoelekea sisi wenye vichogo tutaogopa hata kukaribisha wageni.