Internal Control
Member
- May 3, 2012
- 73
- 37
Wakati dunia nzima ikiiongelea Tanzania kuhusu Trophy hunting sisi huku hatuna habari kama hii issue haitokei nchini kwetu weka CCTV News muda huu.
trophy hunting...mna maanisha nini wadau...!!?? msaaada tafadhali.
trophy hunting...mna maanisha nini wadau...!!?? msaaada tafadhali.
trophy hunting...mna maanisha nini wadau...!!?? msaaada tafadhali.
spoil, prize, anything taken in war or hunting
Lugha gongana
halafu wansema ccm wamebaki wasafi, heri yake Lowasa kawatoka mbaki na wizi wenu
Wana kauli mbiu ....MMEYATAKA WENYEWE CCM MBELE KWA MBELE............
Trophy hunting ni uwindaji kwa ajili ya kupata mnyama au sehemu ya mnyama pori mfano pembe, ngozi au fuvu.
Aina nyingine za uwindaji ni residential & sport hunting
spoil, prize, anything taken in war or hunting
Trophy hunting ni uwindaji kwa ajili ya kupata mnyama au sehemu ya mnyama pori mfano pembe, ngozi au fuvu.
Aina nyingine za uwindaji ni residential & sport hunting
mimi nadhani inafaa iitwe GAME HUNTING FOR TROPHIES, yaani uwindaji wanyama kwa ajili ya kupata nyara. umeona eeh?
BTW, uwindaji wa kijangili ni matunda ya CCM. suluhisho lake ni kuiondoa CCM mamlakani ili kuondoa tatizo hilo.
chadema wanapokea majangili ndio wanaotumalizia tembo wetu.