Angalau sasa naweza hamia android milele

Gushleviv

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2011
Posts
3,457
Reaction score
5,324
Wadau wa jukwaa hili leo naweza kukiri mbele yenu kuwa nimekuwa nikihamahama katika matumizi ya simu kutokana na kufifia kwa Simu za Blackberry katika soko la simu hivyo nikawa sina uhakika na usalama wa simu yoyote zaidi ya Blackberry licha ya kwamba kuna Iphone na Windows Phone ambayo kwa mtazamo wangu ni simu ambayo naona inanifunga jela(Kuninyima uhuru wa kufanya yale ninayotaka katika simu). Hivyo ujio wa Blackberry katika Android na Usalama walionihakikishia imenifanya nijione kuingia Android milele! Hivyo labda kunaweza kuwepo yeyote mwenye taarifa zaidi za kiusalama katika toleo jipya la simu za Blackberry zinazotumia Android OS basi aje hapa kufafanua zaidi.

Long Live Blackberry!
 
Attachments

  • blackberry-dtek-50-2.jpg
    blackberry-dtek-50-2.jpg
    23.9 KB · Views: 47
  • blackberry-priv-5.jpg
    blackberry-priv-5.jpg
    24.8 KB · Views: 53
Mkuu mimi nasaka nipate zile Nokia za kajeneza zina rangi ya blue, basi. Naona hizi smartphone zinamambo mengi sana na matumizi yangu yanahitaji simu very basic, kupiga na kupokea simu, kutuma sms.

images

Mwenye hiyo simu original tuwasiliane.
 
Nadhani kila jambo hili ambalo wewe ni mpokeaji tu technology ni ngumu kuamini kuwa upo safe au lah. Hata hao blackberry wenyewe wangetaka info zako zingepatikana tu. Kwakweli bro i trust no one in this world tena ukiniambia hizi android ndio nachoka kabisaaaa
 
Mkuu mimi nasaka nipate zile Nokia za kajeneza zina rangi ya blue, basi. Naona hizi smartphone zinamambo mengi sana na matumizi yangu yanahitaji simu very basic, kupiga na kupokea simu, kutuma sms.

images

Mwenye hiyo simu original tuwasiliane.
Tafuta Ebay utapata
 
mkuu android sio salama hata kwa blackberry, na simu za blackberry zinatengenezwa na mchina TLC aka Alcatel hivyo hata hio build quality usitegemee ile ulioizoea ya simu kama kitofali kidogo. kama una ujuzi kidogo nunua iphone halafu jailbreak
 
Hii ni kawaida kwa kila kampuni ya simu siku hizi baada ya kuona they won't hit the target kwa kawaida uhamia Android.
Nokia nae alihamia Android pia kwa mbwembwe nyingi sana akijinadi na store yake binafs.
Kaka kitu Kikiishakuwa Open Source kitaendelea tu kuwa Open, na BlackBerry sio kwamba BB Os ndio ilikua bora sana ila hackers hawakuitarget sana BB. Take it to the head.
 
Mkuu njoo nikuuzie hiyo

1474003230122.jpg
1474003376104.jpg
 
mkuu android sio salama hata kwa blackberry, na simu za blackberry zinatengenezwa na mchina TLC aka Alcatel hivyo hata hio build quality usitegemee ile ulioizoea ya simu kama kitofali kidogo. kama una ujuzi kidogo nunua iphone halafu jailbreak
OK...hapa bongo nawezapata mtu wa kunisaidia kujail-break? Je kuna rist zipi katika zoezi zima la kujail-break?
 
mkuu android sio salama hata kwa blackberry, na simu za blackberry zinatengenezwa na mchina TLC aka Alcatel hivyo hata hio build quality usitegemee ile ulioizoea ya simu kama kitofali kidogo. kama una ujuzi kidogo nunua iphone halafu jailbreak

Kwa mtazamo wako ni simu gani kwa sasa ambayo ni salama?
 
so far operating system yenye usalama zaidi ni windows phone, ila sema microsoft mwenyewe ndio wameitekeleza na hakutoki lumia kwa sasa, nafkiri lengo lao ni hadi watoe surface phone 2017. mpaka hio surface phone itoke hakuna option za maana kwenye windows 10 mwaka huu.

ila kama upo serious sana simu ya biashara ipo hp elite x3 sema bei yake ni dola 800, inarun software nyingi za kibiashara unaweza kuigoogle ukaona.

so far simu ya android ambayo ipo karibu na security ni samsung yenye knox na android 6. unatoa permission za app husika na kuinstall hio app ndani ya knox. hii itasababisha mtu atakaespy simu yako kuwa na kazi mbili kuhack simu na kuhack knox.
 
Hii ni kawaida kwa kila kampuni ya simu siku hizi baada ya kuona they won't hit the target kwa kawaida uhamia Android.
Nokia nae alihamia Android pia kwa mbwembwe nyingi sana akijinadi na store yake binafs.
Kaka kitu Kikiishakuwa Open Source kitaendelea tu kuwa Open, na BlackBerry sio kwamba BB Os ndio ilikua bora sana ila hackers hawakuitarget sana BB. Take it to the head.
hapana nakataa bbos ya zamani ilikuwa na security, na kwanini hacker wasii target? os iliokuwa na marketshare kubwa magharibi?

nchi kama marekani na canada blackberry kuna wakati alikuwa na zaidi ya asilimia 50 ya share kitu gani kiliwafanya hao hacker wasiitarget? na windows mobile ilikuwa na share ndogo zaidi kwanini ilikuwa attacked?
 
so far operating system yenye usalama zaidi ni windows phone, ila sema microsoft mwenyewe ndio wameitekeleza na hakutoki lumia kwa sasa, nafkiri lengo lao ni hadi watoe surface phone 2017. mpaka hio surface phone itoke hakuna option za maana kwenye windows 10 mwaka huu.

ila kama upo serious sana simu ya biashara ipo hp elite x3 sema bei yake ni dola 800, inarun software nyingi za kibiashara unaweza kuigoogle ukaona.

so far simu ya android ambayo ipo karibu na security ni samsung yenye knox na android 6. unatoa permission za app husika na kuinstall hio app ndani ya knox. hii itasababisha mtu atakaespy simu yako kuwa na kazi mbili kuhack simu na kuhack knox.
Ni Samsung model ipi mkuu??
 
Kuna surface phone Microsoft anataka kuzitoaa??
 
Back
Top Bottom