ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 44,144
- 50,841
Duu hii inaweza kuwa kamba ππNice. Ila nikwambie tu kwa case ya Morogoro, haiwezi kuwa na uwanja wa ndege kwa matumizi ya uchukuzi wa umma kwa maana tayari Morogoro na anga lake ni restricted military airspace.
Lazima umpe Shikamoo π₯π₯Na akazane
Sijawahi Mkuu ila Sasa inahusianaje na mada?Ulishawahi kupanda ndege? Au tuwaachie akina Mwijaku
Nani??Lazima umpe Shikamoo π₯π₯
Mama la MamaNani??
Shika adabu yako kijana
haha mzee take it from me or leave it.Duu hii inaweza kuwa kamba ππ
Mkoa wa Geita kuna Airport Geita na Airport Chato, hii ya pili hii inapatikana Kijiji cha Chato nyumbani kwa dikteta (kwa sasa inatumika kukaushia nafaka).Geita Airport Geita
Mkuu ukivuliwa nguo chutama, jamaa yupo sahihiDuu hii inaweza kuwa kamba ππ