Kitimoto
JF-Expert Member
- Aug 25, 2012
- 8,191
- 9,851
Kwangu nimefanikiwaOkay asante inabidi nikajribu.....ila vipi hakuna risk zozote naweza kuzipata kwa kufanya manual installation?Au hawa jamaa ni reliable?
Kwangu nimefanikiwaOkay asante inabidi nikajribu.....ila vipi hakuna risk zozote naweza kuzipata kwa kufanya manual installation?Au hawa jamaa ni reliable?
Hongera sana!Mkuu asante sana.
Nimefanikiwa kuiupdate Samsung Note 10+ kwenda Android 11 kwa njia hii. Bahati nzuri Apps, files, nk zimebakia kama zilivyokuwa hakuna kilichofutika.
View attachment 2044191
View attachment 2044192
View attachment 2044193
View attachment 2044194
Hongera sana!