Abdul mndili Senior Member Joined Oct 15, 2016 Posts 192 Reaction score 137 Oct 22, 2016 #1 Habari wakuuu kwa mwenye kufaham android tv box..ni kitu gani na inafanyeje kazi tafadhali naomba anifahamishe...na je zinapatikana wapi kwa hapa Dar..na zinauzwaje? ? Asanteni.
Habari wakuuu kwa mwenye kufaham android tv box..ni kitu gani na inafanyeje kazi tafadhali naomba anifahamishe...na je zinapatikana wapi kwa hapa Dar..na zinauzwaje? ? Asanteni.
Ilisolokobwe JF-Expert Member Joined Jul 29, 2013 Posts 1,865 Reaction score 833 Oct 22, 2016 #2 zinakuwezesha kutazama tv bila satelite dish, inatumia bundle mkuu, bei ni kuanzia 150000 kwenda juu inategemea ubora
zinakuwezesha kutazama tv bila satelite dish, inatumia bundle mkuu, bei ni kuanzia 150000 kwenda juu inategemea ubora
Abdul mndili Senior Member Joined Oct 15, 2016 Posts 192 Reaction score 137 Oct 22, 2016 Thread starter #3 Ilisolokobwe said: zinakuwezesha kutazama tv bila satelite dish, inatumia bundle mkuu, bei ni kuanzia 150000 kwenda juu inategemea ubora Click to expand... Shukrani mkuu
Ilisolokobwe said: zinakuwezesha kutazama tv bila satelite dish, inatumia bundle mkuu, bei ni kuanzia 150000 kwenda juu inategemea ubora Click to expand... Shukrani mkuu
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,211 Reaction score 44,170 Oct 22, 2016 #4 soma thread hii https://www.jamiiforums.com/threads/android-tv-box.959364