android ni O.S inayotumika kwenye device nyini sasa, simu na hata tablets,
ukisema unahitaji simu ya android unakuwa too general ni vema ukasema brand name ya hiyo simu unayotaka, au vigezo vya hiyo simu yenye O.S ya android,
Ukiwa specific hivyo ni rahisi mtu kukusaidia,