Android phone beat Iphones in perfomance effeciency.

mkuu hizo data zina mashaka kama mwandishi wa hio habari alivyozitilia mashaka. sababu failure rate inatokea zaidi kwa simu zenye mauzo makubwa ina maana jamaa hawajalitilia maanani suala la idadi ya simu.

mfano
-kumeuzwa simu 100 za Tecno
-kumeuzwa simu 2 za itel.

then ukafanywa utafiti ukaonyesha simu 3 za Tecno zilikuwa mbovu na simu 2 itel zilikuwa mbovu, hapo utasema Tecno ni mbovu zaidi lakini kutoka na mauzo kuna simu 97 nzima za Tecno na hakuna itel nzima zote ni mbovu
 
Mkuu sijakuelewa, wapi mwandishi ametilia mashaka hii habari?

Mkuu utafiti haukua kwenye kiwango, utafiti uko kwenye ubora simu husika.
 
hapa

The fact that both devices had been premium flagships and high-sellers in the market makes the findings peculiar. The high volumes of these devices sold could also affect the high failure rate, the study says

hivyo hizo zimeathirikia kutokana na wingi wa mauzo, unless unaamini hadi samsung clone na simu nyengine za kichina zipo stable na software zake hazizingui kuliko samsung galaxy s7 na iphone 7
 
Nahisi waliofanya hii study ni android funboys, hata samsung galaxy s8 ambayo ni flagship ya mwaka huu imepitwa kwenye performance ya single core processing, imempita iPhone 7 kwenye multi core processing tena ni kwa sababu samsung anametumia core nyingi kwenye processor yake. Simu za android zitangoja sana kwa iPhone hasa kwenye performance, may be kama wanaongelea kwenye performance ya kitu kingine
 
wanazungumzia efficiency na reliability, vitu kama app kucrash, na matatizo ya hapa na pale
 
Tangu nianze kutumia kutumia iPhone sikuweza kuona matatizo kama hayo ispokuwa kwenye apps ambazo niikuwa nazitumia kwa kujiandikisha kama beta tester, tofauti na kwenye simu za Android ambazo niliwahi kutumia. Hata ukichukua iOS 10 ambayo ina bugs nyingi lakini kwa mtu asiye na ujuzi na masuala ya software ni vigumu sana kujua kama ina bugs kwa kuwa bugs zake ni zinahitaji utaalamu sana kuzigundua, na kitu kinachochangia zaidi efficiency ya iPhone kupungua ni caches, kwa sababu hakuna njia rahisi ya kuondoa caches kwenye iPhone zaidi ya kufuta app husika na kuinstall upya, kama Apple watakuwa wasikivu malalamiko ya watu basi kwenye iOS 11 huenda kukawa na improvement kubwa
 
juzi "geekbench" wametoa listi ya testing yao ya simu zinazotumia snapdragon 835, kati ya simu iliyofanyiwa testi ipo iphone 7 ambayo imepitwa vibaya na xiaomi,experia samsung na nokia
kwangu mimi nitamfuata nokia kila anapoenda
 
hio ni test ya multicore, sababu sd835 ina core 8 ila kwenye single core iphone 7 ipo mbali sana, kwenye vitu kama games, software za proffesional kama autocad, browsing vitu kama javascript vyote vinategemea single thread perfomance

mfano mzuri angalia hizi browser benchmarks
Snapdragon_835-Web-JetStream.png

Snapdragon_835-Web-WebXPRT_2015.png

sehemu ambayo s835 ina shine compare na wengine wote ni

-gpu
siku zite adreno ni gpu bora zaidi za simu kina exynos, apple (A10), mediatek, kirin etc wanasubiria hapa
Snapdragon_835-GPU-GFXBench_T-Rex-Off.png

Snapdragon_835-GPU-3DMark_SlingShot-Overall.png

-modem
-camera intelligence
-wifi etc
 
Ndio maana Mimi nikasema ndoa yangu na Nokia Ni ya kudumu
 
naomba kujua utofauti wa geekbench na benchmac pia kwenye hii result ya geekbench upande mult core nokia kafanya poa kuliko wengine sababu ni ipi uku wote wanatumia Soc 8535?
wp_ss_20170523_0002.png
 
hio ni test ya multicore, sababu sd835 ina core 8 ila kwenye single core iphone 7 ipo mbali sana, kwenye vitu kama games, software za proffesional kama autocad, browsing vitu kama javascript vyote vinategemea single thread perfomance

mfano mzuri angalia hizi browser benchmarks
Snapdragon_835-Web-JetStream.png

Snapdragon_835-Web-WebXPRT_2015.png

sehemu ambayo s835 ina shine compare na wengine wote ni

-gpu
siku zite adreno ni gpu bora zaidi za simu kina exynos, apple (A10), mediatek, kirin etc wanasubiria hapa
Snapdragon_835-GPU-GFXBench_T-Rex-Off.png

Snapdragon_835-GPU-3DMark_SlingShot-Overall.png

-modem
-camera intelligence
-wifi etc
naomba kujua utofauti wa geekbench na benchmac pia kwenye hii result ya geekbench upande mult core nokia kafanya poa kuliko wengine sababu ni ipi uku wote wanatumia Soc 8535?View attachment 513146
 
usiziamini hizo benchmark za simu ambazo hazijatoka sababu nyengine zinakuwa fake

tu assume ni benchmark sahihi unaweza pata score kubwa kuliko wengine kwa

-kuongeza clock za cpu husika, mfano unakuta cpu inarun 2.4ghz, manufacture anaweza ongeza speed hadi 2.5ghz hapa utapata benchmark score kubwa zaidi.

-baadhi ya manufacture wanacheat, simu iki detect software ya benchmark inajieka perfomance mode na kutoa perfomance kubwa zaidi.

-pia kuna manufacture wanafanya optimization zaidi, wanatumia ram zenye speed zaidi, ambazo ni dual chanell, hii husaidia sana processor ikikutana na memory intensive task, geekbench wanapima pia memory. pengine huo utofauti wa score ni kutokana na configuration tofauti ya memory.

tukija kwenye real life score ya Nokia 9 na xiaomi hazijatofautiana sana, ila ya samsung ndio imepitwa sana, huwa samsung kimakusudi analimit power ya snapdragon na hai optimize kama soc yake ya exynos hivyo si vyema kuangalia benchmark za snapdragon kupitia simu za samsung.

kwenye s8 sd835 wameiclock 2.3ghz wakati real clock itakayotumika kwenye simu nyengine ni 2.45Ghz hivyo kuna kama 0.15ghz difference ambayo ni kama kama asilimia 6 ya utofauti.
 
naomba kujua utofauti wa geekbench na benchmac pia kwenye hii result ya geekbench upande mult core nokia kafanya poa kuliko wengine sababu ni ipi uku wote wanatumia Soc 8535?View attachment 513146
kuhusu benchmark na geekbench, benchmark ni kama unasema simu na geekbench ni lumia 1020.

benchmark ni jina la jumla la software wanayotumia kupimia nguvu ya kitu fulani, kwenye simu kuna benchmark mbali mbali kama geekbench, antutu, basemark, kraken, gfxbench etc
 
pamoja mkuu asante
 
Chi

chief uko deep
 
Back
Top Bottom