Wewe ni moja ya watu wanaokwepa responsibility zao. Naona unatafuta mtu wa kumuangushia jumba bovu.
Me najua sa
Hahahah dah. pole mkuu.
Wakati naroot simu for the first time nilikaa week nzima sipo hewani. Simu yangu haitaki kuwaka inafanya bootloop tu.
The day day nmefanikiwa kuroot nilijiona stupid sababu ni kitu ambacho kingechukua 15minutes tu ila kikanikula week nzima.
hapana mkuu... wewe kama unajua nielekeze tu