Android OS Update

mkuu saidia update ya s6edge kwenda 9.android
 
Baseband ipo? Kama ipo utaandika imei tu upya
mkuu ,je mimi naweza ku update simu yangu samsung note 1 kutoka current version ya 4.1.2 kwenda angalau hata android 5
 
mimi nipo tayali mkuu mana hii current version kwangu sioni cha maana kabisa
 
Wewe ni moja ya watu wanaokwepa responsibility zao. Naona unatafuta mtu wa kumuangushia jumba bovu.

Me najua samsung kila kitu kinaishia kwenye ODIN.
 
kaka nilisahau kufanya back up kwenye a5ylte na imei kwasasa ni "unknown"( sim card netwk hamna).. vipi una maujanja?
Hahahah dah. pole mkuu.

Wakati naroot simu for the first time nilikaa week nzima sipo hewani. Simu yangu haitaki kuwaka inafanya bootloop tu.

The day day nmefanikiwa kuroot nilijiona stupid sababu ni kitu ambacho kingechukua 15minutes tu ila kikanikula week nzima.
 
Shida sio odin,shida ni stock rom ya T mobile huku kwetu majanga,na converted rom nayo risk na adim kupata.so inabd utumie tu custom os
Wewe ni moja ya watu wanaokwepa responsibility zao. Naona unatafuta mtu wa kumuangushia jumba bovu.

Me najua samsung kila kitu kinaishia kwenye ODIN.
 
Mkuu samahani hivi Kama Sim imeandikwa operating system :Android 8.1 (go edition)

Halafu inaleta notification za ku update Ina maana nikiaupdate itakuwa Android 8.2 au??

Kwa sababu sielewi chochote juu ya haya mambo
 
No simu gani hiyo.!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…