mimi43
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 410
- 423
Wakuu habari zenu.
Naomba msaada juu ya ku-update samsung s7 edge kutoka android 6 hadi 8(oreo) kwa custom room.
Lengo la kuomba ni kupata hiyo update kwa sababu hii simu ina verzon brand na sio international version, hivo nashindwa kuupgrade kwa njia ya kaiwaida inayotumika na wengi.
Nimejaribu kuserach google nimeona solution ila ni complicated sana
NOTE: nataka kufanya hiyo update bila ku-root simu