mkhande95
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 308
- 180
Ombenichelsea hii pubg mtu akiwahi kukuua si ndio umetoka?Nasisitiza tena Game ni PUBG bwana. Nadhani maendeleo ya game upande wa Android PUBG limeleta mabadiliko makubwa sana kiasi limepelekea mimi kukinai PC Games kwa haraka tangu nilifahamu. Halichoshi na ni zuri pia.
Sent using Jamii Forums mobile app