October man
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 3,631
- 5,023
Game moja ya burudani nzuri kwenye simu na computer ila yale magemu yenye viwango vya juu malanyingi nikiona list ya games Bora ya Android naona wanataja badland nk ila sijawai ona mtu anataka ili game.
Contract Killer Zombie 2 (CKZ Origin)
_kwa wale wanaopenda shooting/Action game (FPS) hili ndio game bora kabisa lina, hili game linahusu ma Zombie, kuna aina tofauti tofauti za maZombie wenye challenge zinazotofautiana
1)Graphics, hakuna game lenye graphics mzuri kwenye simu kama hili, muonekano, sauti nk
2)Zombie, wapo wakawaida na Special Zombies hawa ndio wanachangamoto hapa kuna Bomber, Spitter, Piper, Smasher, nk ila kama unapenda challenge huyu Piper anasumbua yupo kama alien anapiga kelele wanakuja wenzie wanakushambulia inabidi umuue uyu Piper mkuu bila hivyo hata uwauwe vipi anawaita kwa speed.
3)Direction, umu unajiongoza mwenyewe kokote unapotaka na direction za silaha zipo smoothly.
4)Ammo, zipo aina nyingi mzuri ukianza unaanza na virisasi vidogo unavyoenda zinafunguka kubwa, hapa anupenda AK47 na mashine za kuahika uku na uku.
5)Special Mission, kuna special mission ambayo haina mwisho hapo unapambana nakujaza damu unlimited.