Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,367
- 55,054
Sijajua natumia simu gani ila malalamiko ya watu wengi kule google playstore ni kuhusu game kutofunguka.Unatumia simugani mkuu hii ilikuwa inatokea kwenye Tecno Spark 2 yangu na sio ilo tu game zote za kampuni hii ya Glu mpaka Front line Comando DDay nika thought itakuwa simu.