kuna vitu hivi inabidi uvielewe
-kuna transparent na anonymous proxy, ukitumia proxy transparent haita unblock kitu mpaka iwe anonymous
-kuna app zina ignore proxy ukieka haziathiriki mfano hio whatsapp
ushauri wangu komaa na orbot, nimeshaitumia mimi itafanya kazi hio bila wasiwasi, inafanya zaidi vizuri ukiwa na root, pia vpn inaweza saidia.