Superpower
JF-Expert Member
- Oct 11, 2018
- 826
- 921
Hivi inawezeka kuunda Android app itakayo weza kuhost video na kuweka mpesa Kama mfumo wa malipo.
Hii ni idea nzur kinomaNimawazo tu karibuni na michango yenu.
Ndio inawezekana pia zipo app za namna hiyo kama swahiliflix na kipajiapp ambazo zinaweka bongo movies.Hivi inawezeka kuunda Android app itakayo weza kuhost video na kuweka mpesa Kama mfumo wa malipo.
je vp inaweza tegenezwa kwa kotlin mwanzo mwishoNdio inawezekana pia zipo app za namna hiyo kama swahiliflix na kipajiapp ambazo zinaweka bongo movies.
Ndio, google wanapendelea app ziundwe kwa kotlin baadala ya java.je vp inaweza tegenezwa kwa kotlin mwanzo mwisho