Android 4.4 KitKat

deogan

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2011
Posts
399
Reaction score
46
baada ya watu wengi nikiwamo na mimi kusubiri kile wengi tulichokuwa tunategemea, kuwa google watazindua lini android 5.0 keylime pie, naona wameenda tofauti kabisa na matarajio ya wengi baada ya kuweka mdoli/sanamu mpya nje za ofisi yao iliyo katika umbo la chocolate maarufu ya kitkat kuashiri ndio toleo jipya la android inayofwata
 
  • Hii kitu imeshajadiliwa hapa.
    Code:
    [URL]https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/516124-toleo-jipya-la-android-kuitwa-kitkat-na-sio-key-lame-pie.html[/URL]
 
Why jailbreak when you can get a droid? Thats what i always ponder!! Acha si tuenjoy with our delicious Jelly Bean huku tukisubiri ujio mpya, my guess KitKat 4.4 😉

.
ina maana key lime pie ni rumors tu?

.
zote ni rumor, still bado hakuna official name of the upcoming version. All that's known is that it'll be a name of a Dessert, and begin with a letter "K" kufuatisha trend yao ya desserts after JellyBean!

i knew it 😀 XD
 
Waooo!! Nami ngoja niingie kwenye ulimwengu wa Android aisee, Im too late
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…