ubi16 na ningar hii simu ilikua rumored itauzwa kama nexus 4 (yaani dola 300) sababu ndo simu ya kwanza ya motorola kutengenezwa chini ya uangalizi wa google. lakini kuja kutoka inauzwa kama apple kama ulivosema 16gb ni 200 kwenye contract(bei kama s4) na 250usd kwa 32gb(imeizidi hadi iphone ya 16gb) sasa nikiconvert kwa bei ambayo siyo ya contract inakuja kama dola 700 hv