Android 12 (S) Developer Preview is here

Android 12 (S) Developer Preview is here

racka98

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
1,042
Reaction score
1,547
Kuna baadhi ya mabadiliko ya APIs na kuna baadhi ya feature pia.

Hii ni developer preview kwa maana kuwa ipo basic sana na features nyingi bado hazijafika. Lengo lake hii ni kuwapa developers nafasi ya kutest API zao

More info:



Wenye simu ya Google Pixel or Android studio wanaweza install sshv na kutest
IMG_20210218_225539_352.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda 12 mtakuja na mabadiliko ya maana, hii 11 sijaiekewa kabisa.
Android 11 ilikua na under the hood changes nyingi ila bado kulikua na vitu kadhaa viliongezwa kwenye upande wa UI na features.

Cha kwanza kabisa utakacho kiona kiurahisi ni kwamba notification ya music player ipo kwenye sehem yake kivyake na inanebaba players zaidi ya moja
Screenshot_20210218-233259.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom