Andrew Chenge: Rafiki wa Lowassa aliyepewa dola 1m za Escrow

Acha upumbavu wewe. Waliodhirika kupokea mgao wa Escrow ni pamoja na Gurumo wa Ikulu, Mbena wa Ikulu, Saiboko wa RITA, Ngeleja wa Sengerema, Chenge wa Bariadi, Tibaijuka wa Muleba, na wengine wengi ambao majina yao bado ni siri. Hawa wote ni Team EL? Ficha upumbavu wako ndugu.
 
KUNDI LA LOWASSA LAHUSISHWA NA WIZI WA TEGETA ESCROW ACCOUNT.

Wakati watanzania wameaminishwa kuwa hela ya Tegeta Escrow Account ni za serikali,wajanja wachache wachota mabilioni ya shilingi za kitanzania kiulaini.

Taarifa zilizovuja kutoka vyanzo vya uhakika vinaelezea kuwa uhusiano wa Singh na washirika wa Lowassa ulianza wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu wa nchi wa nchi jirani ambayo ni mwanachama wa EAC.

Baada ya uchaguzi huo kumalizika na kundi hilo kushindwa walihamia Tanzania ambapo mpango mahususi wa wizi wa hela halali za Benki moja iliyopo Far East Asia ulifanywa.

Mchezo huu ulichezwa kwa umakini wa hali ya juu sana ambapo nyaraka za kughushi ziliandaliwa na kundi hili ili kuhalalisha wizi huu uliowapa faida ya mabilioni ya shilingi za kitanzania.

Benki moja nchini ilitumika kupitisha hela hizo,Meneja wa benki hiyo na baadhi ya wafanyakazi wengine wenye uhusiano wa karibu sana na Lowassa wameshafukuzwa kazi.Meneja wa Benki hii ni raia wa nchi jirani mwanachama wa EAC na yupo katika timu ya kampeni ya Lowassa.Meneja huyu ndio aliruhusu hela zitolewe taslimu na kwa kiasi kikubwa sana.

Baada ya kuona wao wameshachafuka,Lowassa na mshirika wake mkubwa katika biashara mwenye asili ya kiasia,walimkabidhi mfanyabiashara mmoja wa kiasia kazi ya kuwa na mtuhumiwa huyo.

Kazi kubwa waliyoifanya ni pamoja na kuwaaminisha watanzania kupitia vyombo vya habari wanavyovimiliki kuwa fedha zile ni mali ya umma na hivyo kuondoa nafasi ya wananchi kuwasogeza karibu na wizi huu.

Walitengeneza mazingira ya kila hila kuonesha kuwa baadhi ya viongozi waandamizi wa serikalini wameshiriki kuiba na kula fedha hizo.

Hoja iliyowasilishwa bungeni ilikuwa ni wizi wa fedha za umma,lakini mwisho wa mjadala huo ambao ulipamba moto sana,uliishia kutoa adhabu kwa watendaji wa serikali kuwa walikuwa wazembe na waziri mmoja kushitakiwa kwa kusema uongo bungeni jambo ambalo ni tofauti kabisa na hoja ya msingi ilipowasilishwa.

Watu mnaamua kwa hiyari yenu kuwa wapumbavu,Kikwete na mawaziri wake ni Team Lowassa?nonsense!
 
Hawa malofa kila wanaloambiwa na riz wanakurupuka mtawwaaibisha wakubwa zenu list ya ikulu Ni team Lowassa? Au unataka tutaji mmoja mmoja kutoka nyumba kuu kama hamjakimbia unahangaika kusugua tako kwenye key board wenzako wamewekeza na kuiba wee kodi ya nyumba huna acha ukondoism
 
Huu uzi ataukimbia ngoja wanaume tulete list kwa mujibu wa takukuru watu wamewahifadhi halafu mnaleta ujuha
 
KUNDI LA LOWASSA LAHUSISHWA NA WIZI WA TEGETA ESCROW ACCOUNT.

Wakati watanzania wameaminishwa kuwa hela ya Tegeta Escrow Account ni za serikali,wajanja wachache wachota mabilioni ya shilingi za kitanzania kiulaini.

Taarifa zilizovuja kutoka vyanzo vya uhakika vinaelezea kuwa uhusiano wa Singh na washirika wa Lowassa ulianza wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu wa nchi wa nchi jirani ambayo ni mwanachama wa EAC.

Baada ya uchaguzi huo kumalizika na kundi hilo kushindwa walihamia Tanzania ambapo mpango mahususi wa wizi wa hela halali za Benki moja iliyopo Far East Asia ulifanywa.

Mchezo huu ulichezwa kwa umakini wa hali ya juu sana ambapo nyaraka za kughushi ziliandaliwa na kundi hili ili kuhalalisha wizi huu uliowapa faida ya mabilioni ya shilingi za kitanzania.

Benki moja nchini ilitumika kupitisha hela hizo,Meneja wa benki hiyo na baadhi ya wafanyakazi wengine wenye uhusiano wa karibu sana na Lowassa wameshafukuzwa kazi.Meneja wa Benki hii ni raia wa nchi jirani mwanachama wa EAC na yupo katika timu ya kampeni ya Lowassa.Meneja huyu ndio aliruhusu hela zitolewe taslimu na kwa kiasi kikubwa sana.

Baada ya kuona wao wameshachafuka,Lowassa na mshirika wake mkubwa katika biashara mwenye asili ya kiasia,walimkabidhi mfanyabiashara mmoja wa kiasia kazi ya kuwa na mtuhumiwa huyo.

Kazi kubwa waliyoifanya ni pamoja na kuwaaminisha watanzania kupitia vyombo vya habari wanavyovimiliki kuwa fedha zile ni mali ya umma na hivyo kuondoa nafasi ya wananchi kuwasogeza karibu na wizi huu.

Walitengeneza mazingira ya kila hila kuonesha kuwa baadhi ya viongozi waandamizi wa serikalini wameshiriki kuiba na kula fedha hizo.

Hoja iliyowasilishwa bungeni ilikuwa ni wizi wa fedha za umma,lakini mwisho wa mjadala huo ambao ulipamba moto sana,uliishia kutoa adhabu kwa watendaji wa serikali kuwa walikuwa wazembe na waziri mmoja kushitakiwa kwa kusema uongo bungeni jambo ambalo ni tofauti kabisa na hoja ya msingi ilipowasilishwa.

Wewe ni mbwa koko.unaandika kama vile umeinamishwa.huna hata aibu.punguani wewe.potelea mbali wani ban.khaa
 
Usisahau marafiki wa lowasa wanaanza urafiki n ccm kwanza, ndio baadae wanakuwa marafiki wa lowasa
 
Nyangeta Marwa-20:06 Today-

Aliyekuwa mwanasheria mkuu wa serikali Andrew Chenge alipewa dola milioni 1 za ESCROW sawa na bilioni 2 kasoro za kitanzania imefahamika.-

Chenge ambae alikua mwanasheria mkuu wa serikali wakati mkataba wa IPTL unasainiwa miaka ya 1990 amekiri kupokea kiasi hicho cha pesa kutoka kwa mwanahisa wa IPTL Rugemalila ambae alikua na hisa 30%. Chenge ambae ni mbunge wa Bariadi amekiri kupokea pesa hizo akidai kuwa ni malipo ya kazi ya ushauri aliyoifanya kwa Rugemalila. Hata hivyo hakuna ushahidi wa kuwepo kwa mkataba wowote baina ya mwanahisa huyo na Chenge. Mwanasheria aliyekuwa anaishauri na kuiwakilisha IPTL kwa ujumla akiwemo mwanahisa Rugemalila ni Dr. Ringo Tenga ambae alilipwa pesa zake.-

Chenge ambae ni mtu wa karibu sana na waziri mkuu wa zamani Edward Lowassa ndiye mtu anayetajwa kuwa chaguo la nafasi ya waziri mkuu ikiwa Lowassa atakua Rais wa Tanzania. Hii ni kutokana na urafiki na mchango mkubwa wa mali na maarifa anaoutoa Chenge katika kusaidia harakati za Lowassa.-

Andrew Chenge ndiye mwalimu wa mwanasheria mkuu aliyejiuzuru Jaji Frederick Werema. Wakati Chenge akiwa Mwanasheria mkuu wa Serikali, Jaji Werema alikua afisa wa sheria wa serikali "State Attorney".
Haijajulikana kama malipo hayo ni ya Chenge mwenyewe au ni nani aliye nyuma ya Andrew Chenge. Aidha Haijajulikana kama Chenge hakuwa mchoraji mkuu wa namna gani uporaji huu ufanyike ikizingatia kuwa kashfa nyingi zilizotokea miaka ya karibuni zilitokea yeye akiwa mwanasheria mkuu wa serikali. Hizi ni kama ununuzi wa Rada na Buzwagi.
Hongereni / kweli mnajua kupika majungu/ hongereni kwa kujaribu kumix na njoka mwenye makengeza!
 
Mtajaribu kumchafua Lowassa, na hamtaweza...huu ni upuuzi...!! Kisheria Lowassa anahusika vipi...!!? ww stup.id kabisa..!!
 
Nyi mnaokesha kumchafua lowassa hamjui ndio kwanza mnampandisha" kazi bure tu
 
haya mambo yana mwisho wake,na revolution hii ya mafisadi itafanywa na kundi kubwa hili la mtaani,tunaowapa majina mabaya kila siku,wahuni,machinga etc,sio wasomi,au vinginevyo.
.

Wakiendelea Kung'ang'ania Madarakani Watakaposhindwa October'2015; Ni swala muda tu unayoyasema lazima yatiimie.
 
Nyangeta Marwa-20:06 Today-

Aliyekuwa mwanasheria mkuu wa serikali Andrew Chenge alipewa dola milioni 1 za ESCROW sawa na bilioni 2 kasoro za kitanzania imefahamika.-

Chenge ambae alikua mwanasheria mkuu wa serikali wakati mkataba wa IPTL unasainiwa miaka ya 1990 amekiri kupokea kiasi hicho cha pesa kutoka kwa mwanahisa wa IPTL Rugemalila ambae alikua na hisa 30%. Chenge ambae ni mbunge wa Bariadi amekiri kupokea pesa hizo akidai kuwa ni malipo ya kazi ya ushauri aliyoifanya kwa Rugemalila. Hata hivyo hakuna ushahidi wa kuwepo kwa mkataba wowote baina ya mwanahisa huyo na Chenge. Mwanasheria aliyekuwa anaishauri na kuiwakilisha IPTL kwa ujumla akiwemo mwanahisa Rugemalila ni Dr. Ringo Tenga ambae alilipwa pesa zake.-

Chenge ambae ni mtu wa karibu sana na waziri mkuu wa zamani Edward Lowassa ndiye mtu anayetajwa kuwa chaguo la nafasi ya waziri mkuu ikiwa Lowassa atakua Rais wa Tanzania. Hii ni kutokana na urafiki na mchango mkubwa wa mali na maarifa anaoutoa Chenge katika kusaidia harakati za Lowassa.-

Andrew Chenge ndiye mwalimu wa mwanasheria mkuu aliyejiuzuru Jaji Frederick Werema. Wakati Chenge akiwa Mwanasheria mkuu wa Serikali, Jaji Werema alikua afisa wa sheria wa serikali "State Attorney".
Haijajulikana kama malipo hayo ni ya Chenge mwenyewe au ni nani aliye nyuma ya Andrew Chenge. Aidha Haijajulikana kama Chenge hakuwa mchoraji mkuu wa namna gani uporaji huu ufanyike ikizingatia kuwa kashfa nyingi zilizotokea miaka ya karibuni zilitokea yeye akiwa mwanasheria mkuu wa serikali. Hizi ni kama ununuzi wa Rada na Buzwagi.

Do what?
 
lowasa ni jambazi na fisadi lililokubuu,bora kumpa uraisi turudishe wakoroni.Mungu tuondolee huyu fisadi lowasa
 
Back
Top Bottom