Munch wa Annabelle
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 6,339
- 11,011
Kwenye nyimbo ya Mbosso " AMEPOTEA" Na kamtaja huyu mwamba mwana wa Rajabu, je huyu ni nani?
Wenye kujua tupeni elimu
Wenye kujua tupeni elimu
We ni mwanaume?Atakusaidia Nini
MwanamkeWe ni mwanaume?
We ni mwanamke wapi wewe ni mwanaume acha upotoshaji wakoMwanamke
AlifanyajeMhindi
UmejuajeWe ni mwanamke wapi wewe ni mwanaume acha upotoshaji wako
Namba yako nnayo mkuu ulinipaga nimebadirisha jina tu la IDUmejuaje
🙆🙆🙆🙆 Ni mwanamke mwenye sauti ya kiume kwani hujawahi kuwaona matom-boyNamba yako nnayo mkuu ulinipaga nimebadirisha jina tu la ID
Aaawe acha ujinga acha hizo🙆🙆🙆🙆 Ni mwanamke mwenye sauti ya kiume kwani hujawahi kuwaona matom-boy
UJINGA tena...🤣🤣🤣🤣Aaawe acha ujinga acha hizo
Yeah ujinga wewe tuliongea kwenye simuUJINGA tena...🤣🤣🤣🤣
Wakina burna boy. Aka ladies and gentlemenNi mwanamke mwenye sauti ya kiume kwani hujawahi kuwaona matom-boy
Wanashida Gani kwani...Wakina burna boy. Aka ladies and gentlemen
SawaYeah ujinga wewe tuliongea kwenye simu
Umemuuliza amekujibu..... unambishia tena! We uko sawa?We ni mwanamke wapi wewe ni mwanaume acha upotoshaji wako
Namba yake nnayo tumewahi kuwasiliana mkuu akanipa namba PMUmemuuliza amekujibu..... unambishia tena! We uko sawa?