Andika "LoL" kama umeelewa picha.

Nimeona hapo juu kidogo ya goti la Msela kuna kitu kimevimba!!(dushe?) limefikaje huko jamanni? Na Demu ana paja upande mmoja na Upaja upande mwingine!!
 
Hahaha msela kasahau hata kutoa Tag kwenye suruali... hehehe paja upande mmoja limebonyea... photoshop.
 
ule mkono ni wa mwanaume mwenyewe lol
Hapana ule mkono ni wa mtu mwingine ambae alikua kwenye hiyo picha kabla hajamtoa na kuweka picha ya huyo mdada.... photoshop...angalia vzr hata pozi kati ya paja la jamaa na paja la mdada... lol
 
Huyo anayesema nimetoka kapa atakuwa hajaona hata hilo paja la Msela lilivyokaa kimagumashi!! Au unatoa zawadi kwa mshindi?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…