ANC Youth League leader showdown | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ANC Youth League leader showdown

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by rosemarie, Jun 18, 2011.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  Jun 18, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  ni mwezi mzima sasa tangu kelele za kuchagua uongozi mpya wa african national congress,
  julius malema ambaye amekuwa akishutumiwa na wazungu kwa kuimba nyimbo za ukombozi zilizoimbwa
  miaka ile ya ubaguzi ameshinda tena kwa nguvu kubwa,
  tofauti iliyopo hapa na huko kwetu ni kwamba anc youth league ni chombo chenye nguvu kubwa,
  tukumbuke hawa ndio waliomtoa formal president thabo mbeki madarakani,
  wanaangaliwa kwa jicho la karibu sana kwa kuwa wana uwezo wa kubadilisha mwelekeo wa siasa hapa sa
   
Loading...