GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,742
- 109,178
Hii thread kama hii ishaletwa humu tena Imeshiba haswa na wala sio kukinukisha kama heading yako humu thread iliyoletwa ni Jina wanalotaka libadilike nchi yao iitwe Azania kwani ndio jina la kiasili. Hakuna ukichowasilisha zaidi ya kujaza server tu.
Mod unganisheni hii thread
Kubadilisha jina sio kukinukisha acha ujinga wewe thread ishaletwa humu jana wewe leo umekurupuka kizembe tena habari haitoshelezi kama gazeti la Mawio... unatakiwa ifungiwe miezi 24 na huku pia. Hunaga la maana ambalo huwa unaleta au kuandika. Mtu akileta thread leo wewe kesho yake unaileta kwa heading tofauti... geza geza humshindi muingerezaAcha kuwa na Kiherehere na kwa taarifa yako tu ni kwamba hii taarifa imetoka rasmi jana wakati Wanachama wa ANC walipokuwa katika Mkutano wao na nakuomba ufuatilie kutoka katika Vyanzo vyako vya huko Afrika ya Kusini kisha ujione jinsi ulivyo Hopeless. Na nimeandika hapo neno Kukinukisha nikiwa na maana kwamba Wajumbe wengi wa ANC walipokuwa mkutanoni walikuwa wanafura / wanagomba sana kwamba kwanini hadi leo hii jina hilo la Kikoloni limebaki?
Kila uchao nazidi tu Kukudharau na kamwe usidhani GENTAMYCINE nikija na thread humu huwa nakurupuka kama ambavyo Wewe hukurupuka pale unapoona nimekuja na uzi humu JF.
Na bahati nzuri Moderators wana akili kuliko Wewe na sidhani hata kama hilo ombi lako la Kipuuzi / Kiupupu watahangaika nalo.
Duduwasha taratibu basi, kwani ugomviKubadilisha jina sio kukinukisha acha ujinga wewe thread ishaletwa humu jana wewe leo umekurupuka kizembe tena habari haitoshelezi kama gazeti la Mawio... unatakiwa ifungiwe miezi 24 na huku pia. Hunaga la maana ambalo huwa unaleta au kuandika. Mtu akileta thread leo wewe kesho yake unaileta kwa heading tofauti... geza geza humshindi muingereza
Kubadilisha jina sio kukinukisha acha ujinga wewe thread ishaletwa humu jana wewe leo umekurupuka kizembe tena habari haitoshelezi kama gazeti la Mawio... unatakiwa ifungiwe miezi 24 na huku pia. Hunaga la maana ambalo huwa unaleta au kuandika. Mtu akileta thread leo wewe kesho yake unaileta kwa heading tofauti... geza geza humshindi muingereza
Nini kinakuwa kimenuka?Wanafanya jambo sahihi.
Tel dem one moo tyme!!!Kubadilisha jina sio kukinukisha acha ujinga wewe thread ishaletwa humu jana wewe leo umekurupuka kizembe tena habari haitoshelezi kama gazeti la Mawio... unatakiwa ifungiwe miezi 24 na huku pia. Hunaga la maana ambalo huwa unaleta au kuandika. Mtu akileta thread leo wewe kesho yake unaileta kwa heading tofauti... geza geza humshindi muingereza
Duduwasha taratibu basi, kwani ugomvi
Tel dem one moo tyme!!!
Nilimaanisha "waongezee vidonge"Kwanini usinikabili Wewe kama Wewe ili nikupe nawe dozi yako na badala yake unadandia kwa Mtu mwingine? Ningefurahi sana Wewe kama Wewe ungenikabili Mkuu kwani huyo Laazizi wako tayari nakabiliana nae Mimi kama Mimi ila kama unapenda nikuunganishe nae sema tu.
Wakabili uchumi, jina wanaweza kutumia hata la "MAKINIKIA"Wana Mantiki kabisa
Wapate na Baraka za Mungu.
Nilimaanisha "waongezee vidonge"
Nilitumia lugha ya masela wa jamaika, siunajua ziara za jk.
Peleka huko nyau weweKuwa makini sana na Mimi Mkuu. Huu Unafiki wako mfanyie huyo huyo Mpuuzi mwenzio sawa? Nimemaliza.
Peleka huko nyau wewe