Kwenye nnKwa anayejua naomba msaada.
Nisaidieni jamaniTatizo ndo hiloView attachment 2355722View attachment 2355723
Nimekuuliza tatzo lipo kwenye kifaa gani utaki kujibu jisaidie sasaNisaidieni jamani
Issue hapo ni power supply umeme hautoshi au haufiki kabisa kwenye printing line.Kwa anayejua naomba msaada.
Umejaribu kuingia kwenye service mode na kureset ?NImeambiwa DC CONTROLLER Imeharibika na hazipatikani kwa urahisi