Anayeweza kukodisha gari ndogo anaitajika

Anayeweza kukodisha gari ndogo anaitajika

Security ya gari langu inakuwaje na incase mmepata nalo ajali au limegongwa

Security ya gari langu inakuwaje na incase mmepata nalo ajali au limegongwa?
Likipata ajali ofisi itagharamia, kuhusu security mkataba utafanyika ofisini na ni ofisi inayotambulika. Asset za ofisi zipo
 
Laki mbili wa wiki means mna hela, we tangaza tu natafuta Spacio ya 5M utapata. Ni bora gari iwe yako utaenjoy
 
Back
Top Bottom