Anayeuza Nokia 3310

Anayeuza Nokia 3310

Ryzen

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
7,312
Reaction score
8,754
Habari wanajumuiya wa JF!

MWENYE NOKIA HIZI MPYA AINA YA NOKIA 3310 Naomba aniuzie!

Kama unauza dondosha Comment yako Hapa Chini na Gharama Pia!
 
Mkuu kanunue Dukani utanunua ya wizi gharama zitakutoka za simu tano....vitu kama simu, TV na radio nunua vipya havina kesi na ukijijenga kununua vipya maisha yako utaendelea hivyo hivyo..
 
Hii hapa chkua
1556554161925.jpeg
 
kuna jamaa Wanauza dukani kwao pale Mlimani city!
 
Kkoo krb na round abt ya Msimbazi unapata safi kabisa toleo la miaka ya 2000
 
Back
Top Bottom