Anayetakiwa kumrithi Uenezi Paul Makonda kwa hali na Siasa za sasa ni huyu

Katika list yako hiyo namuona Anthony Mtaka tu hao wengine wako unga sana.
 
Kafulila ni sawa kabisa ila sijui kama watamkubali wateuzi
 
Inamuhitaji VUTA-NKUVUTE
 
Tumbili sawa
 
Nakubaliana na wewe mleta mada na hata rankings zako ziko vizuri. Kafulila anafaa sana akifuatiwa na Mtaka.
 
Siasa hizi z whatsap anahitajika mwanasiasa anaejua kuchunga mdomo, unaweza ongea kama utani baada ya dakika tano hadi putin keshajua, pia siasa sio kukimbizwa na watu, ni strategy
 
Siasa hizi z whatsap anahitajika mwanasiasa anaejua kuchunga mdomo, unaweza ongea kama utani baada ya dakika tano hadi putin keshajua, pia siasa sio kukimbizwa na watu, ni strategy
Hiki ndiyo kimemuondoa yule kichwa maji mfanya maigizo Makonda
 
Huu upinzani wa akina mbowe central command imeshadhibitiwa, uliobaki ni upinzani wa mtu mmoja mmoja kama akina heche, ambao ni rahisi kuudhibiti,

Ile team work iliyompatia ushindi nasari kule arumeru haipo tena.

Cha kuchunga ni kutotengeneza upinzani ndani ya ccm ambao kuudhibiti itakuwa kazi ngumu kidogo.
 
 
Mr.Pasco Mayalla is coming
 
Kafulila hana sifa na hawezi kamwe kupewa hiyo nafasi. Ule upumbavu alioufanya Simiyu asahau milele kupewa nafasi yoyote ya kukutana na umma. Ule upuuzi umepelekea Simia kupoteza mvuto wote kule Simiyu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…