Anayetaka mke mwalimu

yap mm ni gud tcha nltaman kupata mwenza mwalimu lakin ndo hivo tena mchumba nilyenaye kwa sasa ni askar police.....wasemaje hapo nduguuu..?
 
Hapana. Nadhani anamaanisha kuwa ukitafuta wanawake wanaoongoza kwa maadili mazuri sana, utakuja kukuta kuwa wanaoongoza katika kundi la wanawake wa namna hiyo ni wale wanaofanya kazi ya ualimu.


Yaliyonipata kwa mwalimu demu wangu hata sitaki kuwasikia hawa watu,,walimu walikuwa zamani,,hawa ni vicheche ile mbaya,,anayemtaka ani pm niwape namba zake na nyie mmgegede maana nahisi ana pepo wa ngono
 
Kumbe mhe rais Kikwete akufanya uchaguzi wa makosa kwa mama Salma!
 

mmmh! U see? Labda nikwambie si kila muda mtu unakuwa na muda wa kujibu post za watu humu right??pili, unadhani mada yako ingekuwa na mashiko ungeshambuliwa na asilimia kubwa ya wachangiaji? Think wewe c mgeni humu ! Kushambuliwa ni moja ya kuonesha upinzani= hujakubaliwa!! Mada inachangiwa kulingana na maudhui ,vile ndivyo ilistahili!You a e great thinker eeh! Man up and use the 3rd eye sometimes! I think utakuwa umenielewa! N.B next time ukiwa una malalamiko weka kule kwenye jukwaa husika humu unaharibu nyuzi za watu! msomi wewe ohoo! kwaheri bwana !!
 
hahaha who are you boy?,hasira zote hizi ni kwakuwa tulikufurumusha jukwaa la elimu na mada zako nyiiingi!! Zisizo na utafiti ! Mmmh ulijua MMU kule? uwege unajipanga !!

Mi najivua gamba
 
Doctor...ndio wife....kama nmekereka sihitaji kuongea.....akiniangalia tuu uson majibu anayo
 
we ni wangu tu bebi hata watoe macho hadi yaanguke aafu nakumic mic siku hizi huonekani onekani etii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…