Anayetafuta kijana wa kuchomelea (welding)

Anayetafuta kijana wa kuchomelea (welding)

He the great

Member
Joined
Sep 24, 2021
Posts
6
Reaction score
4
Anayetafuta kijana wa welding (kuchomelea) tuwasiliane hasa kwa aliye Dar au Pwani.
Kwa mawasiliano zaidi unaweza nitumia message inbox (pm)
 
Mimi sitafuti
Ila siku nyingine ukiwa unatoa tangazo la kutafutwa jitahidi uweke vitu vifuatavyo.

1. Mawasiliano rahisi ya kutafutwa kwao mfano namba ya simu
2. Vitu ambavyo vitafanywa utafutwe mfano ungeweka picha ya kazi ulizofanya, au link ya social media.
3. Wataongezea wengine wakipenda
 
Kazi ipo mwanza kama unaweza kuja kujitolea kwa mwaka mzima...chakula na malazi ni juu yangu..
 
Back
Top Bottom