ANAYEMUELEWA SPIKA ANISAIDIE

ANAYEMUELEWA SPIKA ANISAIDIE

yahoocom

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2016
Posts
331
Reaction score
380
CAG anaweza undiwa zengwe na kwa nini achukiwe kiasi hiki. CAG Mungu yu pamoja na wewe!
Screenshot_20190516-092457_Twitter.jpeg
Screenshot_20190516-092448_Twitter.jpeg

Taarfa za ukaguzi wa ofisi ya CAG zawasilishwa kwa spika, asema na yeye ni mkaguliwa na kuna mambo kayaona!!
 
Na hao waliomkagua CAG nao watakaguliwa na nani sasa?!.

ama kweli bunge letu ni Dhoofu.
 
Mbilikimo ana visa kwelkwel...kwanini CAG waliomtangulia Prof Assad hakuna hata mmoja tuliyesikia kichekesho hiki cha kukaguliwa ripoti zao?!.

Kwann iwe ni Prof Assad tuu?!. Yaani Supika anadhani watz woote ni hamnazo kama yeye!.
 
Hapa si bure bali kuna jambo ingawa ni sahihi CAG nae akaguliwe.
 
Mzee anahangaikaaa kweli kweli, sisi watanzania tumeshajua juu ya hili
 
Back
Top Bottom