themagnificient
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 988
- 3,318
huwezi nunua basi mpya kama huna faida acha uwongoBiashara ya Mabasi ni ya ajabu hukuna faida wanayopata lakini wananunua basi jipya kila Siku
AQNAfu kwanza ni Kilimanjaro yupi?
Kilimanjaro express Arusha-Dar sijawahi ona gari namba A wala B
Sikuwahi yaona.. labda kupanda panda hayo wanayoita full luxury kunasababisha
Wewe bila mimi mteja yule hawezi kusurvive so kama mteja lazima nimwambie ukweli abadilikeUsimpangie mleta mada
Mtaji hujampa wewe
Anajitahidi sana kwa Sisi tunaomjua
Matajiri wengi wa mabasi walishafilisika na kuondoka barabarani. Mzee Kilimanjaro yuko fit bado yuko barabarani na mabasi wenzie umri wake wengi mabasi yalishaondoka barabarani kwa kufilisika
Ukitaka kanunue na wewe yako uingie ligi na mzee kilimanjaro na mabasi yako mapya uone mziki wake ndipo utajua Mzee Kilimanjaro biashara hajajifunza jana kama wewe
na mimi ni mteja wao ila nawaambia ukweli gari chakavu ni hatari kuliko kusubiriwa kulaMi bado nawaungisha maana wakati wa kula wanakusubiri umalize chakula restaurant siyo wale wengine eti kula na kuchimba dawa dk10. Abiria anahaha kwenda kukata gogo, haijakaa sawa anaambiwa chakula elfu 8 chakula chenyewe kidogo kama cha boarding halafu mbiyo kwenye gari.
Kwani yuko peke yake Barabarani? Ukiona buduma mbaya hama nenda kwingine, acha kuchafua Biashara za watu, na oua alie kymuambia no A ndo zinaanguka ni nani? Kwa hio hakuna no D zinazo angauka?Hii kampuni nimewaungisha sana lakini kwa sasa nataka kuwakimbia.
Tajiri ana mabasi ambayo yana namba A yapo barabarani yamechakaa.
Hata ile ajali ya Mbeya, juzi inasemekana uchakavu wa gari nao ni chanzo kikubwa.
Tajiri hanunui gari mpya anavizia wenzake wafilisike or magari yao yachoke kisha anayanunua kwa bei rahisi kisha anayapeleka gereji yake anayachomelea na kuyapiga rangi kisha anayaweka barabarani anayaita luxury.
Mfano ni zile gari za Dar Lux kazinunua kazipiga rangi kisha akaweka engine za Scania , akazileta barabarani ila cha kushangaza yale magari yana AC juu ila ukipanda ni joto kwa kwenda mbele hamna AC mule ni janja janja.
Magari ya Kilimanjaro baadhi yameshachoka, mengine hadi ndani kuna harufu ya uvundo lakini mmiliki anajidani anatoa huduma za kisasa.
Ni muda muafaka kwa wamiliki wa hii kampuni wakiona ubahili kununua Scania mpya basi wamgeukie mchina la sivyo hii kampuni tutaikimbia soon.
Angalia matajiri wengine kama Nacharo na Sauli. Sauli alianza na gari chache juzi kanunua Marco polo mpya kaweka barabarani.
Juzi Nacharo ya Tanga baada ya kucheza na mchina kwa kipindi kifupi juzi kanunua gari mpya za marcopolo scania kweka barabarani.
Na siku hizi makampuni ya kuunda mabasi kama una kampuni kubwa unachukua magari na unalipa kwa awamu sijui anakwama wapi.
Uko sahihi sumry alikuwa na mabasi 80 brand ya kisasa aliuza yote kukimbia ushindani akaenda kulima sumbawangaBiashara ya ma bus inatakiwa iendeshwe kama anavyoendesha Klm ndo maana muhuni yupo kwenye game kitambo na bado analeta G7 mpya namba D
Ukikurupuka unafilisika chap tu , Darlux kaingia na wenge leo Yuko chali na michina yake ila muhuni klm xprss anakomaa na marcopolo gari zenye maisha marefu anazifanyia maborsho ya Mara kwa Mara na huduma bora ndo maana ana survive yupo kwenye game Hadi leo.
Biashara ya bus ni pasua kichwa kama huna roho ngumu huwezi kuifanya inaweza kukufilisi chap tu ukajikuta umetajirisha maajent na makondakta, kwahiyo unatakiwa ujue unae mshauri anaijua hiyo biashara vilivyo hawezi kuwekeza pesa nyingi kuliko faida anayopata huko ni kuchoma hela, wachoma hela wote sahivi wako chali japo waliingia na michina ya kisasa
Ana royal customers wengi wa kutosha Miaka mingi nikiwemo mimiWe kenge bila mimi mteja yule hawezi kusurvive so kama mteja lazima nimwambie ukweli abadilike
Hii biashara inabidi uwe bahiri kweri kweriBiashara ya ma bus inatakiwa iendeshwe kama anavyoendesha Klm ndo maana muhuni yupo kwenye game kitambo na bado analeta G7 mpya namba D
Ukikurupuka unafilisika chap tu , Darlux kaingia na wenge leo Yuko chali na michina yake ila muhuni klm xprss anakomaa na marcopolo gari zenye maisha marefu anazifanyia maborsho ya Mara kwa Mara na huduma bora ndo maana ana survive yupo kwenye game Hadi leo.
Biashara ya bus ni pasua kichwa kama huna roho ngumu huwezi kuifanya inaweza kukufilisi chap tu ukajikuta umetajirisha maajent na makondakta, kwahiyo unatakiwa ujue unae mshauri anaijua hiyo biashara vilivyo hawezi kuwekeza pesa nyingi kuliko faida anayopata huko ni kuchoma hela, wachoma hela wote sahivi wako chali japo waliingia na michina ya kisasa