Anayemiliki mabasi ya Kilimanjaro ni Tajiri wa ajabu kweli kweli

Hii kampuni nimewaungisha sana lakini kwa sasa nataka kuwakimbia.

Tajiri ana mabasi ambayo yana namba A yapo barabarani yamechakaa.

Hata ile ajali ya Mbeya, juzi inasemekana uchakavu wa gari nao ni chanzo kikubwa.

Tajiri hanunui gari mpya anavizia wenzake wafilisike or magari yao yachoke kisha anayanunua kwa bei rahisi kisha anayapeleka gereji yake anayachomelea na kuyapiga rangi kisha anayaweka barabarani anayaita luxury.

Mfano ni zile gari za Dar Lux kazinunua kazipiga rangi kisha akaweka engine za Scania , akazileta barabarani ila cha kushangaza yale magari yana AC juu ila ukipanda ni joto kwa kwenda mbele hamna AC mule ni janja janja.

Magari ya Kilimanjaro baadhi yameshachoka, mengine hadi ndani kuna harufu ya uvundo lakini mmiliki anajidani anatoa huduma za kisasa.

Ni muda muafaka kwa wamiliki wa hii kampuni wakiona ubahili kununua Scania mpya basi wamgeukie mchina la sivyo hii kampuni tutaikimbia soon.

Angalia matajiri wengine kama Nacharo na Sauli. Sauli alianza na gari chache juzi kanunua Marco polo mpya kaweka barabarani.

Juzi Nacharo ya Tanga baada ya kucheza na mchina kwa kipindi kifupi juzi kanunua gari mpya za marcopolo scania kweka barabarani.

Na siku hizi makampuni ya kuunda mabasi kama una kampuni kubwa unachukua magari na unalipa kwa awamu sijui anakwama wapi.
Mtoa Mada Elewa kwenye biashara kuna MARKET SEGMENTATION kwa maelezo yako wewe ni level za kupanda NDEGE hivyo huku kwenye mabasi si sehemu yako, ikiwa utang'ang'ania kubaki huku tafuta mabasi mengine. Mabasi yapo mengi mno, SAI BABA, CHAKITO, HARAMBEE n.k iweje ung'ang'anie huduma mbovu? umekwenda mbali zaidi kudai namna ambavyo kampuni inavyonunua mabasi na kuyapiga rangi, hapo bado utajiita abiria/mteja?
 
Hii kampuni nimewaungisha sana lakini kwa sasa nataka kuwakimbia.

Tajiri ana mabasi ambayo yana namba A yapo barabarani yamechakaa.

Hata ile ajali ya Mbeya, juzi inasemekana uchakavu wa gari nao ni chanzo kikubwa.

Tajiri hanunui gari mpya anavizia wenzake wafilisike or magari yao yachoke kisha anayanunua kwa bei rahisi kisha anayapeleka gereji yake anayachomelea na kuyapiga rangi kisha anayaweka barabarani anayaita luxury.

Mfano ni zile gari za Dar Lux kazinunua kazipiga rangi kisha akaweka engine za Scania , akazileta barabarani ila cha kushangaza yale magari yana AC juu ila ukipanda ni joto kwa kwenda mbele hamna AC mule ni janja janja.

Magari ya Kilimanjaro baadhi yameshachoka, mengine hadi ndani kuna harufu ya uvundo lakini mmiliki anajidani anatoa huduma za kisasa.

Ni muda muafaka kwa wamiliki wa hii kampuni wakiona ubahili kununua Scania mpya basi wamgeukie mchina la sivyo hii kampuni tutaikimbia soon.

Angalia matajiri wengine kama Nacharo na Sauli. Sauli alianza na gari chache juzi kanunua Marco polo mpya kaweka barabarani.

Juzi Nacharo ya Tanga baada ya kucheza na mchina kwa kipindi kifupi juzi kanunua gari mpya za marcopolo scania kweka barabarani.

Na siku hizi makampuni ya kuunda mabasi kama una kampuni kubwa unachukua magari na unalipa kwa awamu sijui anakwama wapi.
Weka picha
 
Afu kwanza ni Kilimanjaro yupi?
Kilimanjaro express Arusha-Dar sijawahi ona gari namba A wala B
AC5D643F-6A6B-4642-94FF-7A02F0ED572A.png
E54FCCD6-7F80-467F-B1D3-FB15B2494A51.png
 
Back
Top Bottom